Tuesday, July 17, 2012

New Mission, New vision, Same target

Kwa wale wadau wangu wa programming kazi yenu ya blog inaenda vizur sana, baada ya kazi hiyo kuisha mission ifuatayo ni "update reviews"; ambapo kila member atatakiwa kuleta updates kwa ajili ya kuchek mission mpya. Mission hii itasimamiwa na Grayson I know u know what to do.
Huku hilo likiendelea jiandaeni kwa mission nyingine ya Batch file programming ambapo nitamtaka Gerald aisimamie

No comments:

Post a Comment